Mjadala wa Kulisitisha Bunge Umefungwa – Dk. Migiro

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma   HOJA ya kusitisha Bunge Maalum la Katiba imehitimishwa rasmi Kisheria kwa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutamka kwamba bunge hilo linaweza kuendelea na shughuli zake.   Taarifa hiyo imetolewa Septemba 15, 2014 na Mjumbe wa Kamati namba Tano, Dk. Asha-Rose-Migiro wakati wa mjadala wa jioni bungeni hapo. Akisoma taarifa hiyo, Dk. …