Pombe Yamfukuzisha Kazi Waziri wa Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kwa kuingia bungeni akiwa mlevi. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais Magufuli kwa vyombo vya habari kutoka Ikulu, amefikia hatua hiyo baada ya kubainika Charles Kitwanga aliingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya …

Dk John Magufuli Awataka WanaCCM Lindi Kushikamana…!

Dk. John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale. Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akishuhudia. Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dk John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na …

Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Magufuli Awasili Mwanza Kujitambulisha

 Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo. Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake, nje ya ofisi za CCM mkoa, ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dk. Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini …