Dk Bilal Aanza Ziara ya Kikazi Nchini Japan

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanza leo ziara ya Kikazi nchini Japan, ziara inayolenga kuongeza ushirikiano baina ya Japan na Tanzania ikizingatia maeneo ya uwekezaji na ubadilishaji wa teknolojia baina ya nchi hizi mbili. Makamu wa Rais baada ya kuwasili nchini hapa na kukutana na viongozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japan ulio chini ya Balozi …

Dk Bilal Ndani ya Banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

   Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na watumishi wa HESLB mara baada ya kufika bandani haopo na kupokea maelezo ya shughuli za HESLB ikiwa ni mafanikio, matarajio na changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi wanavyo jitahidi kukabiliana nazo.  Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Asangye Bangu akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed  Gharib Bilali juu …