JK, Dk Bilal Aongoza Waombolezaji Kumuaga Dk Shija

Rais Kikwete Amwaga Marehemu Dk. Shija RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Oktoba 12, 2014, ameungana na waombolezaji kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Katibu Mkuu wa Kwanza Mwafrika wa Chama cha Mabunge ya Jumuia ya Madola (CPA) Dk. William Ferdinand Shija, ambaye pia alipata kuwa Waziri Mwandamizi wa Serikali, katika shughuli iliyofanyika kwenye …

Dk Bilal Awakilisha Tanzania Kongamano la Biashara Afrika

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, Oktoba Mosi, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika kongamano la pili la Kimataifa la Biashara kwa nchi za Afrika lililofanyika katika jiji la Dubai, Farme za Kiarabu. Kongamano hili limehudhuriwa na washiriki wapatao 800 kutoka nchi mbalimbali duniani na limelenga katika kukuza uwekezaji katika nchi za Farme za Kiarabu …