Dk Bilal Katika Maadhimisho Siku ya Mazingira Duniani

HOTUBA YA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI, 2015 MKOANI TANGA Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira; Mhe. Samia S. Hassan (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – …

Edward Lowassa Kumuwakilisha Dk Bilal Harambee

OFISI ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa shughuli ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo wilaya ya Arumeru jijini Arusha ambao umepangwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 15, 2015 na ambayo awali ilitangazwa kuwa mgeni Rasmi katika Harambee hiyo angekuwa, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya …