TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli, Kutoa Modem Bure

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu, huduma ambayo imetolewa kama ofa kwa wateja hasa katika kuelekea siku kuu za Chrismas na Mwaka mpya. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa …