UNESCO, MWEDO Kuwapelekea Digitali Wamasai Ololosokwan

Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO),  Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za asasi hiyo kwa ajili ya mazungumzo jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu, Arusha SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania,  limesema kwamba litaingia ubia na asasi ya Maendeleo ya wanawake wa …