Serikali Yatafuta Suluhisho la Kubiga Kura Diaspora

Na Mwandishi Maalum WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali bado inatafuta suluhisho la kudumu litakalowezesha Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) waweze kupiga kura wakiwa huko waliko. Ametoa kauli hiyo Jumatano, Agosti 19, 2015 wakati akijibu maswali ya Watanzania waishio Uganda katika kikao kilichofanyika hoteli ya Serena jijini Kampala. “Serikali tulitamani sana mchakato huu umekamilika mwaka huu ili Watanzania waishio nje ya …

Kipindi Kipya cha Nyumbani na Diaspora Ndani ya TBC1

NI kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli nchini, Bw. Maggid Mjengwa. Jiunge naye kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa …

What Can Africans Diaspora do to Promote Prosperity…!

THIS is an extraordinary time for Africa. The continent boasts one of the world’s fastest growing economic regions, and six of the 10 fastest growing markets in the world are in Sub-Saharan Africa. With enormous progress taking root across the continent, Africans in the Diaspora are uniquely positioned to contribute to boosting the economic growth and prosperity in Africa. Worldwide, …