Diamond: Siwezi Kwenda Mahakamani…!

MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema kamwe hawezi kwenda mahakamani kumshtaki mtu kwa ajili ya kashfa na vituko ambavyo vimekuwa vikimuandama kwenye vyombo vya habari. Msanii huyo Diamond Platnumz alisema kwa sasa yeye ni msanii pekee ambaye anaandikwa sana na vyombo vya habari kuhusiana na kasha na maswala mengine katika maisha yake binafsi …