Rais Kikwete Akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD, Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP, Fahmi Dovutwa. TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni, ambavyo ni …