Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati) akizungumza na vyombo vya habari na wananchi wa Kata ya Kisutu muda mfupi kabla ya kuzindua kampeni ya chukia uchafu katika kata tatu za wilaya hiyo. Kata hizo ni Kisutu, Mchafukoge na Kivukoni. Kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Kheri Kessy na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi …