DC Makonda Azinduwa Kinondoni CUP Mpira wa Kikapu Dar

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi …