Hamphrey Polepole Apewa U-DC Musoma…!

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteuwa Bw. Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Gerson Msigwa uteuzi wa DC Polepole umeanza tangu Aprili 18, 2016. Bw. Polepole ambaye ni miongoni mwa makada vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa mjumbe …

DC Azinduwa Mtambo wa Nitrogeni Mpanda

Na Kibada Kibada- Katavi MKUU wa Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Paza Mwamlima amezindua Mtambo wa Kuzalisha Kimiminika cha Nitrogeni utakaotumika katika kuhifadhi mbegu bora za mifugo kwa ajili ya uhamilishaji mifugo na kuwezesha upatikanaji wa kosaafu za ng’ombe zenye tija. Akitoa Taarifa ya Mtambo huo, kwa Mkuu wa Wilaya Ofisa Mifugo kutoka Idara ya Mifugo na Uvuvi Laurensi Elias ameeleza kuwa Mtambo huo uliletwa …

Rais Kikwete ‘Atimua’ na Kuteua Wakuu wa Mikoa, Ma-Katibu, Ma-DC Waguswa…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mjini Dodoma, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu …