Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde zinasema mtuhumiwa mmoja dawa za kulevya raia wa Nigeria amepigwa risasi na kufa papo hapo baada ya kujaribu kutoroka chini ya ulinzi wa askari. Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es Salaam ambapo mshtakiwa huyo pamoja na wenzake walikuwa wamefikishwa kwa ajili ya kusikilizwa …

JK Akomalia Madawa ya Kulevya Viwanja vya Ndege

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameiamuru Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake kuchukua hatua za mara moja kukomesha aibu ya viwanja vya ndege vya Tanzania kutumika katika uchochoro wa kupitisha na kusafirisha madawa ya kulevya. Aidha, Rais Kikwete alisema ukweli kuwa madawa ya kulevya yanazidi kupita katika viwanja vya ndege za Julius Nyerere …