Ridhiwani Kikwete Ahojiwa na Mamlaka ya Dawa za Kulevya, Ashukuru Mungu…

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameeleza kufurahishwa kwake baada ya kuhojiwa na Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini. Mbunge huyo amezungumza hayo jana jijini Dar es salaam baada ya kuhojiwa na Mamlaka hiyo, ambapo alisema roho yake imesuuzika kwani jamii imeamini kwamba hahusiki kwa namna yoyote ile na biashara hiyo haramu. “Nashukuru kwa kuhojiwa …

Makonda Akabidhi Majina Mengine ya Watuhumiwa Dawa za Kulevya

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amekabidhi orodha nyingine ya watuhumiwa wa dawa za kulevya ili waweze kushughulikiwa na Mamlaka Mpya ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya. Makonda amekabidhi faili la majina hayo kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo, Rogers William ambaye ameahidi kuendeleza moto ule ule wa mapambano ili kuhakikisha wanatokomeza biashara hiyo …

Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa akinyunyiza marashi juu ya Mirungi iliyofungwa katika vipande vya magazeti ikiwa ni mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa bidhaa hizo. Baadhi  ya watuhumiwa wa dawa za kulevya waliokamatwa …

UNIC Wazinduwa Ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa za Kulevya

Uongozi wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataaifa (UNIC) umezindua ripoti ya Kupambana na dawa za kulevyaa ya Umoja wa Mataaifa, Uzinduzi uliofanywa Machi 4, Jijini Dar es Salaam. Wakizungumza mbele ya wandishi wa habari kwa upande wake, Ofisa Habari wa Kituo Cha Habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo alibainisha ripoti hiyo imeweza kuchambua mambo mbalimbali dhidi …