Waziri Ummy Awabana Wauzadawa Wasio na Sifa Nchini

Na Mwandishi Wetu – Dodoma WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Famasia nchini kuanza kazi ya kuhakiki vyeti vya wauza dawa (wafamasia) katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti na kuwaondoa wauza Dawa wasio na sifa ya kufanya kazi hiyo kwenye maduka ya dawa. Pia ameligiza Baraza hilo kuwachukulia hatua kali …

Nawera Alalamikia Gharama Kubwa ya Bei za Dawa za Binadamu

Na Dotto Mwaibale MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania. Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua …