SIKU chache zimepita tangu Daraja la Kisasa linalounganisha Kigamboni na jiji la kibiashara la Dar es salaam kukamilika na kuzinduliwa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli. Daraja hili lenye urefu wa mita 680 lilianzwa ujenzi wake kuanzia Mwaka 2012 mpaka kufikia 2016 limeweza kugharimu zaidi ya Dola Million 140 ambapo inatarajiwa kuwa itakuwa ni …
Rais Dk Magufuli Kuzinduwa Rasmi Daraja la Kigamboni
WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la kigamboni kesho, Jumanne tarehe 19 Aprili, 2016 kuanzia saa mbili asubuhi. Kufuatia ufunguzi huo Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inawataarifu wananchi wote wanaotumia daraja hilo kuwa …
Daraja la Kigamboni Kupitika Bure Aprili 16, 2016…!
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUHUSU MATUMIZI YA DARAJA LA KIGAMBONI WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Daraja la kigamboni litaanza kutumika siku ya Jumamosi tarehe 16, Aprili, 2016 kuanzia saa 12:00 asubuhi. Katika siku za mwanzo, magari yatapita bila kulipia tozo hadi Serikali itakapokamilisha taratibu na kutangaza utaratibu wa kulipia. Aidha, watembea kwa miguu na waendesha …
Gari la Kwanza Daraja la Kigamboni Kuvuka Machi Mosi
mii (N.S.S.F) Mhandisi John Msemo, akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sehemu ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga (wa kwanza kulia) sehemu ya kipande cha km 1.5 kilichopo upande wa Kigamboni kwa ajili ya upanuzi wa daraja hilo.[/caption] KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano sehemu ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga amesema daraja la Kigamboni litaanza kutumika …