Mpambano Mkali wa Ngumi Kufanyika Oktoba 25

Mwandishi Wetu MPAMBANO mkali wa mchezo wa masumbwi utakaowakutanisha mabondia mbalimbali kutoka kila kona ya Tanzania unatarajia kufanyika Oktoba 25, 2014 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es Salaam. Akizungumzia mpambano huo Mratibu wa pambano hilo ambaye pia ni kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila ‘Super D’ alisema maandalizi yanaendelea vizuri. Alisema kuwa siku hiyo kutakuwa …

TTCL Yazinduwa Bonanza la SHIMMUTA Dar

OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura Oktoba 11, 2014 amezinduwa Bonanza la Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) lililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu (UDSM) jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika hotuba yake, iliyosomwa kwa niaba na Ofisa Mkuu wa Biashara wa TTCL, Kanda ya Dar es Salaam, Karim …

Benin Wataja Silaha Kuwakabili Stars

KOCHA wa timu ya Taifa ya Benin, Olle Didier Nicolle ametaja kikosi cha wachezaji 18 kwa ajili ya mechi dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Oktoba 12 mwaka 2014 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   Mfaransa huyo ameita wachezaji 13 wanaocheza nje ya nchi hiyo akiwemo kiungo Stephane Sessegnon wa West Bromwich Albion ya Uingereza kwa ajili ya mechi hiyo …

Azam Yadhamini Maonesho Makubwa ya Keki Dar

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam KAMPUNI ya Insights Productions Limited kwa udhamini wa Kampuni ya Azam Tanzania imeandaa maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau mbalimbali wa uandaaji na utayarishaji wa keki. Maonesho hayo yatajulikana kama ‘Azam World of Cakes Exhibition’. Akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa …