Dar es Salaam Yaungana na Majiji Mashuhuri Afrika Kutoa Huduma ya Uber
DAR ES SALAAM inakuwa mji wa 475 kujiunga na mtandao unaokuwa wa Uber duniani. Kwa uzinduzi wa Uber, jukwaa la ubunifu wa kiteknolojia, Dar es Salaam inaungana na orodha ya vituo maarufu vya usafiri barani Afrika. Kufuatia mafanikio ya Uber katika nchi nyingi, Uber inayo furaha kuzindua jukwa la ushirika la abiria kwa watu wa Dar es Salaam. Jukwaa la …
Mbwa Mwitu Waibuka Tena, Wavamia Wakata Mapanga Watu Mchana
Na Mwandishi Wetu, KUNDI la vijana waporaji wanaotumia silaa za jadi baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam leo wameibuka tena na kuvamia baadhi ya maeneo ya Kigogo Luhanga, jirani na Kanisa Katoliki Parokia ya Luhanga (eneo la Jaba) na kukata watu mapanga na kupora fedha na simu. Kwa mujibu wa mashuhuda kundi hilo liliibuka jirani na kituo cha kujiandikishia …
Skylight Band Gumzo ya Jiji la Dar es Salaam…!
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music akiimba kwa hisia kaliii huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Baby na wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na …
Naibu Mkurugenzi UNESCO Awasili Dar es Salaam
Ofisa mwandamizi wa habari na mahusiano ya umma wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Bw. Karimu Meshack (kushoto) akijadiliana jambo ndani chumba cha mapumziko cha wageni mashuhuri na Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa mipango kitaifa, kitengo cha Sayansi UNESCO,Tanzania, Gabriela Lucas kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika …
- Page 1 of 2
- 1
- 2