Hapibethidai Mdau Daniel Chongolo

 Mdau wa mitandao ya jamii, Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru Wazazi hasa mama yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao.  Mtandao huu unamtakia afya njema na kila kheri katika siku …