Mshindi wa Tatu Miss Tanzania 2014 Achangia Damu

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014, Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani, iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama, Selina Joseph. Zoezi hilo la uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo. Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, mrembo Doris Mollel ambaye ni Miss Tanzania namba …

Mkuranga Watakiwa Kuchangia Damu

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Mkuranga WANANCHI wilayani Mkuranga wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwenye benki ya damu iliyoko katika hospitali ya wilaya hiyo ili kupunguza tatizo la uhaba wa damu linaloikabiri hospitali hiyo. Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Mkuranga na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya hiyo, Dk. Anwar Milulu wakati akipokea msaada wa mashuka 90 yaliyotolewa na Chuo …