Mtanzania DABO Atajwa Kuwania Tuzo za Reggae Kimataifa

Inawezekana ukawa humfahamu mwanamziki huyu kwa vile hana kelele nyingi…lakini ONESHA UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA ili awe kushinda nafasi ya Msanii Bora wa Muziki wa Reggae Tanzania. DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World …