Cyberknife: Mfumo Roboti wa Upasuaji kwa Mionzi Usiotumia Kisu

MFUMO wa upasuaji wa kiroboti usiotumia kisu (Cyberknife) ni njia m’badala ya upasuaji usiokuwa na madhara kwa matibabu ya uvimbe wa saratani na usio wa saratani popote katika mwili, hii ni pamoja na kibofu, mapafu, ubongo, uti wa mgongo, ini, kongosho na figo. Matibabu yanayotoa mihimili ya kiwango cha juu ya mionzi kwa uvimbe uliokomaa- yanatoa matumaini mapya kwa wagonjwa …