BARAZA Kuu la Uongozi la CUF limewafukuza uanachama wabunge wanane wa viti maalum na madiwani wawili pia wa viti maalum. Miongoni mwa Wabunge hao wanane, ni pamoja na Kiongozi wa Wabunge wa CUF Riziki Shahali. Hayo yamesemwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam. Amesema wabunge na madiwani …
Vyama vya siasa havipo juu ya Sheria, vinapaswa kuheshimu na kufuata Sheria za nchi; Jaji Francis Muntungi
Nimesoma na kuona katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu vurugu zilizotokea tarehe 22 Aprili, 2017 katika hoteli ya Vina, Mabibo hapa Dar es salaam, zinazosemekana kuhusisha wanachama wa CUF. Ni ukweli usiopingika kuwa, suala la mgogoro wa uongozi katika chama cha CUF lipo mahakamani, lakini nikiwa msimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa na kutambuliwa na jamii kuwa ni mlezi …
Maalim Seif Hamad Asema Upepo wa Kisiasa Unavumia CUF
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wa Chama hicho Wilaya za Unguja katika ukumbi wa majid Kiembe Samaki. Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki. Kaimu …
Edward Lowassa Ndani ya Kikao cha CUF Makao Makuu Buguruni Dar
Sehemu ya Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa wamejipanga Barabarani tayari kwa kumlaki, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, alipokuwa akielekea Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF. Wanachama wa Chama …