TTCL Waweka Wazi Mafanikio ya Mkongo Mkutano wa Connect 2 Connect

Na Mwandishi Wetu, TANZANIA inafanya mazungumzo na mataifa anuai ya Afrika zikiwemo nchini za Angola, Namibia pamoja na Zambia ili kuweza kuunganisha mkongo wa taifa na mikongo kutoka mataifa mengine ili iweze kupata huduma kwenye mikongo ya baharini iliyoko pwani ya Bahari ya Atlantiki lengo ikiwa ni kusaidia kupatikana kwa huduma hiyo katika nchi za katikati mwa Bara la Afrika. …