Rais wa Simba Aveva Azinduwa Wiki ya Simba ‘Simba Week’

SIMBA inasherehekea wiki maalumu iliyopewa jina la ‘Simba Week’ ambayo imezinduliwa leo na Rais wa Simba Sport Club,  Evans Aveva na  hufikia kilele chake Tarehe 8 Mwezi Agosti. Mwaka huu siku hii ya Simba week itakuwa na uzito wa kipekee kwani Klabu ya Simba itakuwa inaanza Sherehe za kuadhimisha Miaka 80 ya klabu Hiyo. Sherehe za Wiki ya Simba zinaenda sambamba na …

Simba Yamzawadia Hussein Tshabalala ni Baada ya Kushinda..!

IKIWA ni hali ya kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga …

Club ya Simba Yaendelea Kuleta Mapinduzi…!

DHIMA yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali  wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya  mapato.   Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Katika kukuza wigo wake wa kuwashirikisha wapenzi wake katika …