Mkurugenzi Clouds Media Group Athibitisha Kituo Kuvamiwa

  MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba amethibitisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia ofisi zao akiwa na askari wenye silaha. Akifafanua zaidi Ruge amesikitishwa na tukio hilo na kuviomba vyombo vya habari kuungana katika kupinga kitendo hicho cha uvamizi wa ofisi za vyombo vya habari pasipo utaratibu. Alisema kitendo alichokifanya kiongozi huyo …

Clouds Media Group na Semina ya Fursa Mkoani Tabora

SEMINA ya Kamata Fursa Jitathimini, Jiamini, Jiongeze inayoendeshwa sambamba na burudani za Fiesta 2014, jana imeendelea kwa kuwapatia dira ya maisha na namna ya kuwafanya wajikwamue kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi wakazi wa Mkoa wa Tabora mjini ndani ya ukumbi wa chuo cha TEKU, kilichopo katikati ya mji wa Tabora. Semina hiyo ambayo imeongozwa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji …