CIP Trust Yatumia Mil 16 Ujenzi wa Madarasa, Ofisi Shule ya Kata

Na Nathaniel Limu, Singida SHIRIKA lisilo la kiserikali la Community Initiatives Promotion Trust Fund (CIP Trust), limetumia zaidi ya shilingi 16 milioni, kugharamia ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi moja ya walimu, katika shule ya msingi Kinyamwenda kata ya Itaja. Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa shirika la CIP Trust, Affesso Ogenga, wakati akitoa taarifa ya ujenzi  huo kwenye …