Profesa Mbwete Atoa milioni 45 Kujengwa Chuo Katavi

Na Kibada Kibada – Katavi  MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwete ametoa msaada wa shs milioni 45 kwa ajili ya kununulia eneo lenye ukubwa wa ekari 85 kwa ajili ya ujenzi wa Koleji ya chuo tawi la Mkoa wa Katavi. Prof. Mbwette alieleza kuwa katika kuhakikisha suala la maendeleo ya elimu linakuwa ameamua kusaidia kununua eneo litakalotumika …