JK Acharuka Aipa Wiki Moja Halmashauri Kilosa, Atembelea Chuo cha Mzumbe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameupa wiki moja uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, kuwapatia viwanja vya kujenga nyumba wahanga wa mafuriko ya kiasi cha miaka minne iliyopita mjini Kilosa. Rais Kikwete ametoa agizo hilo, Agosti 24, 2014 wakati alipozungumza na wananchi wa Kilosa katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kilosa …