Christian Bella, Vanessa Mdee Kutumbuiza Mjadala TGNP

Na Mwandishi Wetu MSANII nyota wa dansi nchini Tanzania, Christian Bella pamoja na Vanessa Mdee wa miondoko ya bongo fleva wanatarajia kutumbuiza katika mjadala wa wazi utakaofanyika Desemba 3, 2014 ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi wa …