Rais Magufuli Atoa Zawadi ya Krismas kwa Kituo cha Wazee Zanzibar

Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mafuta ya Kupikia Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka …

Ofisa TAKUKURU ‘Aangushiwa’ Kipigo Chrismas…!

WATU ambao bado hawajajulikana wanadaiwa kumshushia kipigo kikali Ofisa mmoja wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Chunya na kumjeruhi vibaya hasa sehemu za usoni. Kwa mujibu wa chanzo chetu ofisa huyo (pichani) anadaiwa kuvamiwa na watu hao maeneo ya Sai Mbeya siku ya Siku Kuu ya Chrismas na kupigwa vibaya kabla ya kutelekezwa. Chanzo hicho …