Chato-Geita, the Birthplace of TZ’s New President

CHATO is one of the five regions that form Geita in the north western parts of Tanzania. It is Geita’s administrative center. Chato district was formed around 2005 within the Kagera region it was later transferred to the newly created region of Geita in 2012. It is a place of birth to the newly elected president of the United Republic …

Dk. Magufuli Apokelewa kwa Shangwe Jimboni Kwake Chato

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .     Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye …