Na. Aron Msigwa – MAELEZO. Wito umetolewa kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam hususan wazazi wenye watoto walio na umri chini ya miaka 5 kuhakikisha kuwa wanashiriki kikamilifu katika zoezi la utoaji wa matone ya Vitamini A na dawa za Minyoo kwa kuwapeleka watoto wao katika vituo mbalimbali vya afya ili waweze kupatiwa dawa hizo kabla ya terehe …