Chanjo ya Matende, Mabusha, Surua Kutolewa Dar

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014. Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri …