Wafanyakazi Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Acacia Kahama Wachangia Damu

  Kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara,Sam Roesler na Mkuu wa Kitengo cha Utumishi Kampuni ya Acacia ofisi za London nchini Uingereza (kulia) wakichangia damu kwa ajili ya hospitali ya Mji wa Kahama. WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Uchimbaji ya dhahabu ya Acacia kupitia mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameanza zoezi la kuchangia damu kwa …