Chama cha Walimu Manispaa ya Iringa Kumburuza Mkurugenzi CMA

IKIWA ni siku kadhaa zimepita tangu kufanyike uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi la Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujadili baadhi ya agenda za kulijenga upya baraza hilo, Chama cha Walimu Manispaa hiyo kimegoma kuhudhuria vikao vya baraza hilo kutokana na kukiuka baadhi ya vipengele vya makubaliano ya awali.   Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Katibu wa Chama cha Walimu Manispaa ya Iringa mwalimu Fortunate Njalali …