FFU- Ughaibuni Yafunika Tamasha la Challenge Festival Dortmund

Ngoma Africa band wawatia kiwewe mashabiki wake katika Challenge Festival Dortmund Ujeruman Juni 7,katika tamasha lililoandaliwa na umoja wa wakameruni waishio nchini Ujerumani. Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU “Anunnaki alien” au watoto wa mbwa, walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge …