UKAWA Wamtangaza Mgombea Wao, Asema Watashinda Kweupeee…!

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na ushirikiano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD hatimaye umefikia mwafana na kumsimamisha mgombea mmoja wa urais na makamu wake kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambaye ataungwa mkono na vyama vyote. Ni aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na kada wa Chama Cha Mapinduzi aliyetangaza kukihama chama …

Lowassa Achukua Fomu Kugombea Urais Tiketi ya CHADEMA

WAZIRI Mkuu mstaafu na mwanachama mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho. Lowassa ambaye msafara wake ulikuwa na wananchi wengi kiasi ambacho uliwashinda vijana wa ulinzi wa CHADEMA, aliwasili katika Makao Makuu ya chama hicho majira ya saa sita na nusu na kupokelewa na wanachama wengi …

Edward Lowassa Aibukia CHADEMA,Kugombea Urais UKAWA

ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa na kada mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akiacha historia ya pekee nchini Tanzania. Lowassa ametangaza uamuzi huo leo alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari, baadhi ya viongozi wa CHADEMA na viongozi wakuu wa …

Mbunge Viti Maalumu Chadema Atimkia ACT Wazalendo

 Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.   Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com

Mbowe Apokea Kadi za CCM za Lembeli na Bulaya Mwanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo leo jijini Mwanza kimefanya mkutano mkubwa kupokea kadi za wabunge wawili waliohama toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na chama hicho. Waliopokelewa rasmi na kutambulishwa katika mkutano huo ulioshirikisha viongozi wa juu wa Chadema ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa CCM Kahama, James Lembeli na Mbunge wa CCM Viti Maalumu, Ester Bulaya ambao wote …

Kambi ya Edward Lowassa Sasa Rasmi Chadema

SASA ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza kuhamia Chadema, huku mratibu wa wanachama wanaomuunga mkono kada huyo wa CCM kuamua kujiunga na vyama vinavyounda Ukawa. Matukio hayo yametokea ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la wanachama wa CCM kutangaza kuhamia vyama vya upinzani, …