TANZIA:– Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Pilemon Kiwelu Ndessamburo amefariki Dunia mapema leo hii mjini Moshi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa amethibitisha kutokea kwa kifo hicho cha Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, …
Chadema Kulifikisha Mahakama Kuu Jeshi la Polisi…!
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni Dar es Salaam leo mchana, wakati akitoa madai ya kushikiliwa kwa wafuasi wa chama hicho zaidi ya 70 wasiofahamika na wengine 10 katika vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za …
CHADEMA ya Ukawa Yamnadi Lowassa Mkoani Tanga
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo Septemba 28, 2015. Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea Urais wa …
Matukio Picha Uzunduzi wa Kampeni Chadema
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 29, 2015. Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa …
Lowassa Aweka Historia Dar, Msafara Wake Haijawahi Tokea
Na Mwandishi Wetu, Dar MSAFARA wa mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ambaye pia anaungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD umejumuisha umati mkubwa wa wafuasi wa vyama hivyo jambo ambalo limelazimisha baadhi ya maeneo shughuli kusimama kwa muda na watu kujaa barabarani kutazama umani huo. Hali hii imeweka historia mpya …