Rais wa Zamani wa Chad Kufikishwa Mahakamani

RAIS wa zamani wa Chad Hissene Habre atafikishwa mahakamani nchini Senegal kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, ukatili dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. Kesi hiyo mjini Dakar ni ya kwanza ya aina yake ambapo nchi moja ya Afrika imemshitaki kiongozi wa zamani wa taifa jingine. Bwana Habre anashutumiwa kwa kuhusika na vitedo vya ukatili na mauaji ya …