Cecafa Kagame Cup Kutimua Vumbi Jumamosi Dar

MICHUANO ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13 kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na kati. Mashindano ya CECAFA Kagame Cup ni mashindano makongwe barani Afrika ambayo yalianza …