Binti wa Bloga Michuzi Aomba Ubunge Viti Maalum CCM Tabora

   Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana. Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamalizia muda wake sasa.   Binti wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada …