Maadhimisho ya Miaka 39 ya Kuzaliwa kwa CCM Singida

     Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na …