Waziri Dk Kigoda Ataka Wahitimu Tanzania Wapewe Kipaumbele

Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa makampuni kutoka ndani na nje nchi kuacha tabia ya kutoa nafasi nyingi za ajira kwa wageni na badala yake wawatumie vijana wa kitanzania wanaohitimu masomo katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es salaam na Waziri wa Viwanda Biashara, Dk. Abdallah Kigoda wakati akizungumza na wahitimu …