Watakaohamia Kijiji cha Wasanii Kupewa Bustani Bure

Na Mwandishi Wetu MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umetoa bustani bure kwa wanachama wake wanaomiliki nyumba katika kijiji chao cha Mwanzega Mkuranga ikiwa ni kuwawezesha watakaoamia kuendesha shughuli za kilimo. Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa watakao nufaika na ofa hiyo ni wale watakaohamia katika nyumba zao kabla ya Desemba mwaka …