Mahakama Burundi Yawafunga Maisha ‘Waliompinduwa’ Nkurunziza

MAHAKAMA nchini Burundi imewahukumu kifungo cha maisha majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine tisa miaka 30 jela kwa kitendo cha kuhusika katika jaribio hilo la mapinduzi ya kijeshi. Wanne kati ya hao watakaotumikia kifungo cha maisha jela ni aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Cyrille Ndayirukiye, Jenerali Zenon Ndabaneze, Juvenal …

Raia wa Burundi Wapiga Kura Kumchagua Rais Wao

UCHAGUZI wa Rais umeanza Burundi baada ya kumalizika kwa ghasia na maandamano ya miezi kadhaa iliyopita, hatimaye raia wa Burundi wamepiga kura ili kumchagua rais wao. Hata hivyo watu wawili wameuwawa usiku wa kuamkia leo katika Mji Mkuu wa Bujumbura. Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema kuwa, milio ya risasi na gruneti zimesikika usiku kucha katika Mji Mkuu wa Burundi- …

Rais Museveni Apewa Kibarua Kusuluhisha Mgogoro wa Kisiasa Burundi

Na Benedict Liwenga, Maelezo WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuwa msimamizi wa kuongoza juhudi za kupatanisha makundi nchini Burundi. Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa jana Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo …

Wakimbizi wa Burundi ‘Wang’ang’ania’ Kurudi Tanzania…!

Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu iliyopo wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, Sospeter Christopher Boyo (aliyesimama mwenye shati la kitenge) akisoma taarifa fupi ya Kambi ya Nyarugusu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (aliyeketi mwenye suti ya kijivu) aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja …

Statement by High Representative/Vice-President Federica Mogherini on the suspension of the EOM to Burundi

STATEMENT Brussels, 28/05/2015 Statement by High Representative/Vice-President Federica Mogherini on the suspension of the EOM to Burundi The EU has been supporting Burundi in its efforts to entrench democracy since the Arusha Agreements put an end to years of civil war and lay the foundations for a new era. This year’s legislative and presidential elections are a key step in …

Wakimbizi wa Burundi Kupewa Nafasi Zaidi Kuishi Kawaida

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (kulia) akiwasili kwenye uwanja wa ndege Kigoma akiwa ameambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (hayupo pichani) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia) na kupokelewa na …