Na Mtuwa Salira, EANA NI karibuni miaka 16 sasa baada ya kuuawa kwa mwandishi wa habari za uchunguzi wa nchini Burkina Faso, Norbert Zongo, hatimaye haki imetendeka juu yake baada ya hukumu ya kihistoria iliyotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) yenye makao yake jijini Arusha. Katika hukumu hiyo iliyotolewa mwishoni mwa wiki, ACHPR iliamuru …
Burkina Faso Kufanya Uchaguzi Mkuu Novemba 2014
Burkina Faso Kufanya Uchaguzi Mkuu Novemba 2014 VYAMA vya siasa nchini Burkina Faso vimekubaliana kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwezi Novemba 2015 ikiwa ni harakati za kurejesha utawala wa kiraia na demokrasia katika nchi hiyo. Hata hivyo mazungumzo hayo yamemalizika bila kuwa na ufumbuzi kuhusiana na suala la nani awe kiongozi wa mpito hadi kufikia muda wa kufanyika kwa uchaguzi mkuu …