Wabunge Waanza Kuipigia Kura Katiba Inayopendekezwa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameanza kupiga kura kuipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kuwasilishwa kwao na Kamati ya Uandishi ya Wajumbe hao. Zoezi la kupiga kura hizo limeanza rasmi majira ya saa tisa za jioni ambapo mbunge mmoja baada ya mwingine wamekuwa wakiitwa kwa majina na mbunge huyo kupiga kura yake kwa …