Matumaini Katiba Mpya Arijojo…!

IKULU imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014. Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue alilieleza gazeti hili kuwa kwa hali ya mchakato huo ilivyo sasa, wameshindwa kufikia lengo hilo, lakini hawajakata tamaa kuhusu kupatikana Katiba Mpya ndani ya mwaka huu. “Kweli matarajio ya awali yalikuwa hayo, lakini kama unavyoona hali …

Sitta Awapoza ‘Wapinzani’ Bunge la Katiba…! Bunge la Katiba Laendelea

Na Magreth Kinabo- Dodoma MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametangaza rasmi majina mengine ya ziada ya wajumbe wapya wa Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo. Majina hayo yametangazwa leo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Hassan Suluhu mjini Dodoma kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bunge hilo. Taarifa hiyo ilieleza kwamba Sitta amefanya uteuzi huo, …

Baadhi ya Wajumbe Bunge la Katiba Wataka Serikali Mbili

Na Magreth Kinabo – Maelezo Dodoma BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamependekeza kuwepo kwa Muundo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye mfumo wa Serikali mbili, wakati wa kuchambua sura ya kwanza na ya sita zilizoko katika Rasimu ya Katiba mpya. Kauli hiyo imetolewa mjini hapa na wenyeviti wa Kamati namba 10 na namba moja ya Bunge hilo wakati …

Warioba Ajibu Mapigo ya Kikwete

ILIYOKUWA Tume ya Mabadiliko ya Katiba, chini ya Jaji Joseph Warioba, imetoa ufafanuzi katika baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba yaliyokosolewa na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge Maalumu la Katiba wiki iliyopita. Taarifa ya Tume hiyo kwa umma wa Watanzania, iliyosambazwa jana kwenye vyombo vya habari, ilisema hatua hiyo ya kutoa ufafanuzi katika baadhi …

Dk. Nchimbi Alia na Wajumbe Wanaotaka Madaraka Bunge la Katiba

Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma BAADHI YA WAJUMBE wa Bunge la Maalum la Katiba wamewataka wajumbe wenzao kujikita katika mchakato wa mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya itakayozingatia maslahi ya taifa na kuwanufaisha Watanzania badala kujitazama mwenyewe. Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa bunge hilo, ambaye ni mmoja wa kiongozi wa kundi la TANZANIA KWANZA Dk. Emmanuel Nchimbi …